NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA UFUNDI KABALE BUKOBA
KABALE VOCATIONAL TRAINING CENTRE
P.O.BOX 319 BUKOBA- MOBILE: 0759125405/0754201310/0765498187
EMAIL:KABALEVT@GMAIL.COM
AFFILIATED BY VETA
REG NO. VETA/KGR/PR/2017/008/D.
KABALE VOCATION TRAINING CENTRE ILIYOKO KABALE WORD VISION(LWERU ADP) INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WOTE KATIKA KOZI ZIFUATAZO :
P.O.BOX 319 BUKOBA- MOBILE: 0759125405/0754201310/0765498187
EMAIL:KABALEVT@GMAIL.COM
AFFILIATED BY VETA
REG NO. VETA/KGR/PR/2017/008/D.
KABALE VOCATION TRAINING CENTRE ILIYOKO KABALE WORD VISION(LWERU ADP) INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WOTE KATIKA KOZI ZIFUATAZO :
KOZI ZA MUDA MREFU (LONG
COURSE)MWAKA ,MMOJA(1) KUENDELEA..............
1.ELECTRICAL INSTALLATION(UMEME WA TANESCO).
2.KOZI YA HOTEL MANAGEMENT AND OUTSIDE CATERING.
3.KOZI YA TOURIST GUIDE AND OPERATION.
4.SECRETARIAL COURSE $ COMPUTER APPLICATION PROGRAMMERS.
5.MASSON AND BRICK LAYING (FUNDI UJENZI)
KOZI ZA MUDA MFUPI (SHORT COURSE) MIEZI MITATU (3) –MIEZI SITA (6).
1.PLUMBING AND PIPE FITTING (UFUNDI WA MABOMBA.
2.MASOMO YA SALOON NA UPAMBAJI WA MAHARUSI.
3.ELECTRICAL INSTALLATION,(UMEME WA TANESCO).
4.KOZI YA HOTEL MSNAGEMENT AND OUTSIDE CATERING.
5.KOZI YA TOURIST GUIDE AND OPERATION.
6.SECRETARIAL COURSE $ COMPUTER APPLICATION PROGRAMMES.
7.MASOON AND BRIK LAYING (FUNDI UJENZI).
8.NAFASI ZIPO KWA WANAO RUDIA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA.
KWA WALE WATAKAOPENDA KUISHI HOSTEL.
CHUO CHETU KINATOA NAFASI ZA HOSTEL KWA WALE WANAOTOKA MBALI, VILEVILE NA KWA WANAOPENDA KUISHI HOSTEL GHARAMA NI BURE.
FOMU ZINAPATIKANA CHUONI KABALE
MAWASILIANO: 0759125405/ 0683621253
0754201310/ 0765498187
MAWASILIANO: 0759125405/ 0683621253
0754201310/ 0765498187
FOMU YA KUJIUNGA
Thanks for service
ReplyDelete