TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020


WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MUKOMBOZI SEKONDARI S.L.P 951 BUKOBA
0752752369/0683621253/0625545360
EMAIL: mukomboziseckondary1@gmail.com
TANGAZO LA NAFASI  ZA MASOMO KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020
Image result for sHULE YA SEKONDARI
SHULE YA MUKOMBOZI SEKONDARI ILIYOPO WILAYA YA BUKOBA KATA KATOMA KIJIJI RUKINDO.INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA NA WANAFUNZI NANAO RUDIA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE NA Q-T MWAKA 2020
v  SHULE YA SEKONDARI MUKOMBOZI INA USAJILI WA SERIKALI KWA NAMBA S. 4961 NA NAMBA YA MTIHANI (BARAZA LA MITIHANI) NI S. 5554. SHULE NIYA KUTWA NA BWENI. ADA YAKE NI NAFUU ZAIDI NA INALIPWA KWA AWAMU 3

v  SHULE INA WALIMU WA KUTOSHA NA WENYE UZOEFU KWA AJILI YA MASOMO YOTE YA SEKONDARI
v  SHULE IPO MAHALI PATULIVU KWA AJILI YA KUJIFUNZA NA KUNA UPEPO MWANANA KWA HALI YA HEWA  
 MAOMBI YA KUJIUNGA YATAANZA KUPOKELEWA KUANZIA TAREHE 21/10/2019

KWA MAWASILIANO ZAIDI:
                                                  0625545360
                                                  0683621253
                                                  0752752369                                            
KUMBUKA KUNAPUNGUZO YA ASILIMIA 21 YA ADA KWA WANAFUNZI 20 WA KWANZA
                       
                     IMETOLIWA NA               JUMA S. HAMIS
MKURUGENZI WA SHULE

Comments